Yanga Noma, Yaichinja Simba Tena…!

TIMU ya Yanga leo imefanikiwa kutamba tena kwa watani wao wa jadi baada ya kuibamiza timu ya Simba mabao 2-0 huu ukiwa ni mchezo wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Yanga katika mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa walifanikiwa kupata bao la kwanza katika dakika ya 39 ya kipindi cha kwanza mfungaji akiwa ni Donald Ngoma aliyetumia …