Klabu ya Simba Yawazawadia Mashabiki Wake

Rais wa Simba Evans Aveva Akikabidhi Zawadi kwa Mmoja wa Washindi Uongozi wa klabu ya Simba leo umetoa zawadi kwa washindi wa bahati na sibu iliyochezeshwa siku ya Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Zawadi zilizo kabidhiwa kwa washindi ni jezi …

Coastal Union Yamnasa ‘Messi’ wa Simba

Na Mwandishi Wetu, Tanga TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeendelea kufanya usajili wa nguvu ili kujiimarisha vilivyo katika safu mbalimbali ambapo jana ilifanikiwa kuingia mkataba wa kuitumikia timu hiyo kwa kipindi cha miaka miwili aliyekuwa winga wa kulia wa Simba, Ibrahim Twaha “Messi” Utiliaji saini wa mkataba huo ulifanyika makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mjini hapa na kushuhudiwa …

Mgogoro: TFF Yawaita Simba na Singano

YAH: MGOGORO KATI YA MCHEZAJI RAMADHAN SINGANO NA KLABU YA SIMBA. TFF imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za mgogoro wa kimkataba kati ya Mchezaji Ramadhani Singano wa klabu ya Simba. TFF imeagiza mwakilishi wa klabu ya Simba pamoja na mchezaji wa Simba wafike ofisi za TFF siku ya Jumanne tarehe 09/06/2015 kwa mazungumzo. Kila upande umetakiwa uje na vielelezo vyake. …

Angalia Mgao wa Milioni 436 za Yanga na Simba

MECHI namba 117 iliyowakutanisha Simba na Yanga katika uwanja wa Taifa, imeingiza jumla ya sh. milioni 436,756,000 kutokana na idadi ya watazamaji 49,758 waliokata tiketi kushuhudia mchezo huo.   Watazamaji 309 walikata tiketi za VIP A, 1,310 VIP B, 1,533 VIP C, Rangi ya Machungwa (Orange) 9,913 huku viti vya rangi ya bluu na kijani wakiingia watazamaji 36,693.   Mgawanyo …

Simba, Yanga Nani Mtani Jembe Kucheza Desemba 13

*TFF Yataja Kiingilio katika mchezo huo MECHI ya Nani Mtani Jembe 2 kati ya Simba na Yanga zinazodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itachezwa Jumamosi, Disemba 13, 2014 saa kumi kamili jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Meneja Udhamini wa TBL, George Kavishe amesema kwamba “Tayari Simba na …