Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Happyness William Seneda (katikati), akihutubia kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa viwanja vya Shule ya Msingi Chanzige wilayani Kisarawe jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Halmshauri ya Kisarawe, Khamis Dikupatile na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Pwani, Germana Mnga’alo. Mwenyekiti wa Halmshauri ya Kisarawe, Khamis Dikupatile, akipima shinikizo la damu …
Tanzania ya Viwanda Inaitaji Wanawake Wachapakazi – EfG
Mjumbe wa Bodi ya EfG, akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Viwanja vya Soko la Temeke Sterio Dar es Salaam. Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Niall Morris akitoa hutuba yake kwenye maadhimisho hayo. Mkuu wa Dawati la Jinsia Kituo cha Polisi Chang’ombe, Mkaguzi wa Polisi, Meshack Mpwage, akihutubia kwa niaba ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke …
Viongozi Wanawake Waliofanikiwa Kuwaunga Mkono Wanawake…!
SIKU ya Jumapili (Machi 6, 2016) zaidi ya wanawake mia moja wanatarajia kujumuika pamoja jijini Dar es Salaam katika matembezi yaliyoandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership katika kuelekea siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa Machi 8 kila mwaka duniani kote. Matembezi hayo yatashirikisha nchi 86 duniani ambayo yanalenga kuongeza viongozi wanawake kupitia semina na kupata mafunzo kutoka kwa …
Wafanyakazi wa MSD Katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (MSD), Bw. Cosmas Mwaifani akifungua sherehe za Siku ya Akina Mama Duniani zilizofanyika. Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati wa sherehe hizo Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Akina kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili,.Matlida Ngarina aliyeAlikwa kwa ajili ya kutoa mada kuhusiana na magonjwa ya akina mama, akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) Mjasiriamali maarufu wa saluni …
- Page 1 of 2
- 1
- 2