MKE wa Rais wa Tanzania, Mama Salma Kikwete pamoja na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid wanatarajiwa kuwa wageni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani, yatakayoadhimishwa na Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) kuanzia Mei 4 hadi 5, 2014 jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa TAMA, Dk. Sebalda …