Maadhimisho Siku ya Malaria Duniani Kufanyika Dar Aprili 25

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TANZANIA itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini mafanikio ya utekelezaji wa mikakati mbalimbali ya kupambana na ugonjwa huo hapa nchini. Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria …