Misa-Tan Yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupata Taarifa

Mkurugenzi  wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Simon Berege (kushoto) akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari kweye mkutano wao uliofanyika kwenye ofisi za MISA Tanzania  zilizopo jijini Dar es Salaam kulia ni  Mkurugenzi msaidi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Andrew. Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi …