UNIC na Maadhimisho ya Siku ya Choo Duniani

UNIC na Maadhimisho ya Siku ya Choo Duniani Siku ya choo duniani ambayo huadhimishwa tarehe 19 Novemba. UNIC waliadhimisha siku hii kwa kuwakutanisha vijana walioko nje ya shule  tarehe 23 Desemba 2014 kwa lengo la kuwaelimisha na kuwahamasisha  utumiaji wa vyoo ili na wao waweze kuelimisha jamii zinazowazunguka juu ya umuhimu wa kuwa na vyoo. Tukio hili liliwakutanisha vijana toka …