Na Mathias Canal, Singida MKUU wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu amewaonya baadhi ya wanasiasa hususani madiwani katika Wilaya hiyo kupitia matamko yao ya kuzuia ukusanyaji wa ushuru au kupiga vita vizuizi vilivyowekwa katika kata zote. Madiwani hao wanatumia vibaya Uelewa mdogo wa wananchi kwa kuwazuia kuchangia shughuli za maendeleo na ulipaji kodi hivyo amewaagiza madiwani wote …
Vyama Visivyo na Ruzuku Vyavutwa na Moto wa Dk Magufuli
Na Lilian Lundo MAELEZO UONGOZI unaounda mashirikiano ya umoja wa vyama visivyo na Ruzuku ya Serikali ambavyo ni ADA-TADEA, UDP, UPDP na SAU uitwao URUWA (Umoja wa Rufaa ya Wananchi) umeipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kwa uongozi uliojaa utukufu wa uzalendo. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa URUWA John Shibuda leo Jijini Dar es Salaam alipokuwa akiongeo na waandishi …
Mama Samia Suluhu; Mgombea Mwenza Aliyepanga Kuwapigania Wanawake
Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com MCHUANO wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajia kufanyika Oktoba 25, 2015 unaendelea maeneo mbalimbali ya nchini, huku vyama anuai vilivyofanikiwa kuingia katika ushindani huo wa kisiasa vikinadi ilani na sera zao kwa Watanzania ili kuwashawishi wachaguliwe. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mara ya kwanza kimemsimamisha mwanamke katika ngazi ya juu ya uongozi. Kimemteuwa mwanamama, …
Kiongozi wa Upinzania Auwawa Burundi
KIONGOZI wa chama kidogo cha upinzani nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi. Mwili wa kiongozi huyi, Zedi Feruzi pamoja na wa mlinzi wake ulipatikana nje ya nyumba yake kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Bujumbura. Mauaji ya mwanasiasa huyo yanafanyika wakati wanaharakati wa upinzani nchini humo wamesitisha kwa siku mbili maandamano yao dhidi ya Rais Pierre Nkurunziza kupinga uamuzi wake …
Joto la Kisiasa Laanza Kupanda Rombo
JOTO la siasa kuelekea Uchaguzi Mkuu mwishoni mwa mwaka huu limeanza kupanda wilayani Rombo baada ya mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Fraterni Michael Lasway kutangaza nia ya kugombea Jimbo la Rombo kupitia tiketi ya chama hicho. Lasway ambaye kwa sasa ni Ofisa Manunuzi kutoka Hospitali ya Aga Khani ya jijini Dar es Salaam ametangaza uamuzi huo wakati alipozungumza na …
Zitto Ataja Sababu za Kujiunga ACT…!
ALIYAUWA Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ametaja sababu tano za kujiunga na chama cha ACT-Tanzania huku akijigamba kuwa yeye ni mchapakazi na kwamba sasa mambo yote ni mbele kwa mbele. Akimnukuu Rais wa zamani wa Ghana, Hayati Kwame Nkrumah aliyewahi kusema, ‘forward forever, backward never’, jana Zitto alisema, sasa ni wakati wa kuangalia mbele, hakuna kurudi nyuma tena huku …