Mchakato Shirikisho la Kisiasa EAC Kuanza 2024

Na Ronald Ndungi, EANA-Arusha MCHAKATO wa shirikisho la kisiasa la Afrika Mashariki unaweza kuanza mwaka 2024, afisa mmoja wa Kenya alisema Jumatatu. Mkurugenzi Msaidizi Mwandamizi wa Masuala ya Sisa, Judy Njeri aliwaambia waandishi wa habari Nairobi, Kenya kwamba mazungumzo juu shirikisho yataanza baada ya utekelezaji kamili wa Umoja wa Fedha, inaripoti shirika huru ya habari ya Afrika Mashariki (EANA). “Rasimu …