Wahitimu Shule ya Msingi Muhimbili Waisaidia Shule Yao

Na Mwandishi Wetu WANAFUNZI waliohitimu darasa la saba mwaka 1988 Shule ya Msingi Muhimbili wametoa msaada wa viti vya kisasa 30, meza nane (9) na kufanya ukarabati ofisi ya walimu na ofisi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo ambapo gharama za msaada huo kwa pamoja umefikia kiasi cha shilingi milioni 17. Wakikabidhi msaada huo shuleni hapo leo jijini Dar es …