Mama Salma Asaidia Madawati 100 Shule ya Msingi Mnacho

Na Anna Nkinda – Maelezo, Ruangwa MKE wa Rais Mama Salma Kikwete ametoa msaada wa madawati 100 kwa shule ya msingi Mnacho iliyopo kijiji cha Ng’au wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi ambayo alifanya mazoezi ya kufundisha kwa vitendo (BTP) wakati akiwa mwanachuo wa Chuo cha Ualimu Nachingwea. Mwishoni mwa mwaka jana Mama Kikwete ambaye kitaaluma ni mwalimu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake …