Waziri Pinda Apokea Msaada wa Vitabu Shule ya Msingi Kakuni

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amepokea msaada wa vitabu 895 vyenye thamani ya sh. milioni 6.5/- ikiwa ni jitihada ya wadau mbalimbali kuchangia shule ya msingi aliyosoma ya Kakuni iliyoko kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele, mkoani Katavi. Waziri Mkuu amepokea msaada Mei 26, 2015 kwenye shule mpya ya msingi Kakuni ambayo bado inaendelea kujengwa kwenye kijiji cha Kibaoni. Akizungumza katika hafla …