TPB Yasaidia Shule ya Msingi Gedeli, Mwanza

Na Mwandishi Wetu BENKI ya Posta Tanzania (TPB) Tawi la Mwanza, imetoa msaada wa madawati 40, meza 5 na viti 10 yenye thamani ya Sh milioni 5 kwa Shule ya Msingi Gedeli iliyopowilaya ya Nyakato, Mwanza. Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Posta, Regina Semakafu, alikabidhi msaada huo jana kwa Kaimu Afisa Elimu Kizito Bahati wa Wilaya hiyo kwa niaba …

Wanafunzi Msingi Wampa Ujumbe wa Rushwa Rais Kikwete

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Fatma S. Ally alipowasili wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi  Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo   Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo  Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde “Kibajaji”  Kikundi cha utamaduni cha Shule ya …