UN Yakutanisha Shule 10 za Sekondari, Vyuo na Walimu Mkoani Shinyanga

Ofisa habari kitengo cha habari Umoja wa mataifa nchini Tanzania (UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza katika viwanja vya Mazingira Senta mjini Shinyanga kwenye warsha ya siku moja iliyokutanisha shule 10 za sekondari, vyuo na walimu kutoka katika shule na vyuo hivyo vilivyopo katika manispaa ya Shinyanga, ambapo alisema Umoja wa Mataifa(UN) unalipa suala la elimu kipaumbele sana kwa wanafunzi …