DC Shinyanga Amsimamisha Kazi Muuguzi Aliyebambwa Akiiba Dawa

 Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro amefanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga ili kujionea hali halisi jinsi huduma zinavyotolewa kwa wananchi siku moja tu baada ya muuguzi wa kituo hicho kukamatwa kwa tuhuma ya kuiba dawa za serikali.Pichani ni mkuu wa wilaya Josephine Matiro na katibu tawala wa wilaya ya Shinyanga wakiwa katika chumba …

Waliopata Mimba Shuleni Wahitimu Mafunzo ya Stadi za Maisha Shinyanga

Na Mwandishi Wetu, Shinyanga WAZAZI wenye umri mdogo 149 mkoani Shinyanga ambao walipata mimba wakiwa shuleni wamekamilisha mafunzo ya miaka miwili ya stadi mbalimbali za maisha mkoani hapa. Wazazi hao wenye umri mdogo ni miongoni mwa wazazi 220 walioanza mafunzo hayo miaka miwili iliyopita chini ya mradi wa Elimu Mbadala kwa Wasichana walioacha shule kwa sababu za Ujauzito unaofadhiliwa na …

Acacia Watumia Milioni 400 Kujenga Maabara Mkoani Shinyanga

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi,Mhandisi Philbert Rweyemamu(kushoto) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Bi Josephine Matiro wakati wa uzinduzuzi wa jengo la Maabara katika shule ya Sekondari Ngokolo lililojengwa kwa ufadhili wa kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Buzwagi. Jengo la Maabara lililojengwa kwa ufadhili wa Mgodi wa Kuchimba Dhahabu wa Buzwagi katika shule ya sekondari Ngokolo iliyopo wilani Shinyanga. …

JK Atuma Rambirambi Vifo vya Mvua ya Mawe Shinyanga

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ali Nasoro Rufunga kuomboleza vifo vya watu 38 huku wengine 82 wakijeruhiwa usiku wa kuamkia tarehe 4 Machi, 2015. Tukio hilo la kusikitisha limetokea katika Kata ya Mwakata iliyoko katika Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga kufuatia mvua kubwa ya mawe …

Shinyanga Yatwaa Taji la Miss Talent 2014 Dar

Tano bora ilikuwa hii  Ommy Dimpoz akiwa kwenye red carpet  Msami akitoa burudani ya nguvu ndani ya Maisha club jijini Dar   Mambo yalikuwa hivyo kwa baadhi ya washiriki Mardha John akifanya vitu vyake  Huyu ni balaaaa  Elizabeth Eliud akikizungusha kiuno chake Dorice Molel akifanya ya kwake kwenye stage   Kwa Naomi Kisaka ilikuwa ni shidaaaaaa  Huyu alikuja kiivi  Sabina Thomas  alitoka …