Balozi Sefue Kuzinduwa Mashindano ya SHIMIWI 2015

Na Mwandishi Wetu, MAELEZO-Dar es salaam KATIBU Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michezo ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali na Ofisi za wakuu wa Mikoa (SHIMIWI) itakayoanza Jumamosi ijayo(15.8.2015) mjini Morogoro. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo jijini Dar es salaam na Kaimu Katibu Mkuu SHIMIWI Moshi Makuka, …

Ikulu Yazoa Vikombe SHIMIWI, Wanamichezo Waaswa

Na Eleuteri Mangi – MAELEZO KLABU ya Ofisi ya Rais Ikulu imeonesha umwamba wao kwa kupokea vikombe vingi na medali katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ambayo yamefikia tamati leo mjini Morogoro. Klabu hiyo imeongoza kwa kupokea vikombe vingi zaidi ya klabu nyingine zilizoshiriki michuano hiyo ambapo jumla ya vikombe sita vimechukuliwa na …

Mashindano SHIMIWI Yapamba Moto, Yaingia Nusu Fainali

Na Eleuteri Mangi – MAELEZO MICHUANO ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) imefikia hatua ya nusu fainali kwa michezo ya kuvuta kamba, mpira wa miguu na mpira wa pete kwenye mashindano yanayoendelea mjini Morogoro. Katika mchezo wa kuvuta kamba timu za wanaume zilizoingia hatua hiyo ni Ikulu, Uchukuzi, Hazina na Mahakama wakati kwa upande wa …

Uhamiaji Sports Club Yaifungisha Virago Ikulu SC

Na Happiness Shayo – Morogoro TIMU ya soka ya Uhamiaji imeweka historia katika michezo ya SHIMIWI baada ya kuifunga timu ya soka ya Ikulu bao moja kwa bila katika mchezo wa mtoano uliofanyika viwanja vya Morogoro Sec. mjini Morogoro na hivyo kuitoa timu hiyo ya Ikulu katika mashindano ya SHIMIWI. Mchezo huo wa aina yake uliochezwa kwa vipindi viwili vya …