Ummy Mwalimu Asimamia Sheria Mazingira Kinondoni

Hussein Makame – MAELEZO NAIBU Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu amewataka watendaji wa Kata za halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kusimamia utekelezaji wa sheria na kanuni za kusimamia mazingira kwani kufanya hivyo watafanikiwa katika kutunza mazingira ya halmashauri hiyo. Naibu Waziri Mwalimu ameyasema hayo wakati alipofanya ziara katika Halmashauri ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo …