TAMKO LA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU KUMTAKA RAIS ASITIE SAIN YA SHERIA YA TAKWIMU YA 2015 NA SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO BILA KUFANYIWA MAREKEBISHO Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu kwa kushirikiana na baadhi ya Wanachama wake, Kituao cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), SIKIKA, Mtandao wa Jinsia-TGNP, Jamii Forum, Mtandao wa Watoa Huduma za Msaada …