JK ‘Abariki’ Sheria ya Makosa Mtandao, Waziri Akaribisha Maoni

Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete tayari amesaini sheria ya Uhalifu wa Mtandao (Cyber Crimes) iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni. Sheria hiyo iliyolalamikiwa na wadau wengi hasa wanahabari imesainiwa na Rais na ipo tayari kuanza kutumika ilhali wizara husika ikikaribisha maoni toka kwa wadau na kuweka wazi mabadiliko yanaweza kufanyika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi …