Wamiliki Vyombo vya Habari Wapinga Mswada wa Sheria Vyombo vya Habari

 Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.  Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed …

JK: Salama ya Burundi ni Kuheshimu Katiba na Sheria

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), amewashauri viongozi na wananchi wa Burundi kufanya mambo manne muhimu ili kutuliza hali ya sasa ya kisiasa katika nchi hiyo na hivyo kuepusha ukosefu wa utulivu wa kisiasa na hata kuzuka kwa machafuko. Rais Kikwete …

LHRC Yazungumzia Utekelezaji Sheria Kura ya Maoni…!

Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo. KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kina wasiwasi na mchakato wa kura ya maoni inayotarajiwa kufanyika kwa sabau ya muda mdogo ulibaki ikizingatiwa daftari la wapigakura halijafanyiwa marekebisho pia watanzania wengi hawana uelewa na katiba iliyopendekezwa. Kituo kimetoa mapendokezo kwa Serikali kuahirisha tarehe ya kupiga kura ya maoni kwa kile …

Bodi ya Filamu Tanzania Yakomalia Sheria, Kanuni

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM BODI ya Filamu Tanzania imezitaka Kampuni za filamu nchini kufuata Sheria na Kanuni mbalimbali wakati wa kutengeneza filamu ili kuepusha ukiukwaji wa Sheria na Kununi. Rai hiyo imetolewa leo na Katibu wa Bodi hiyo, Bi. Joyce Fissoo wakati alipofanya mkutano na Kampuni ya Kajala Entertainment ambapo mnamo Septemba 22, mwaka huu ilikagua Filamu fupi ya kampuni …

JK: Acheni Woga na Udhaifu wa Kusimamia Sheria

Sehemu ya jengo la mradi huo. Rais Kikwete akibofya kitufe kupiga king’ora kuzindua rasmi mradi huo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Changamoto za Milenia Tanzania (MCA-Tanzania) Bw. Karl Fickenscher wakikagua mitambo ya  mradi huo. Mkurugenzi Mkuu wa MORUWASCO, Bw. Nicholaus Angumbwike akiendelea kutoa maelezo ya mradi. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka viongozi …