Wananchi Wamuandalia Sherehe ya Ushindi Mbunge Wao

WANANCHI wa vijiji vya Leguruki na King’ori katika wilaya ya Arumeru wameandaa sherehe kubwa kwa ajili ya mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassar baada ya kutatua mgogoro wa maji uliodumu kwa muda mrefu katika vijiji 15 vya wilaya hiyo. Sherehe hiyo iliyoenda sanjari na shughuli za kimila ilishuhudiwa mbunge huyo pamoja na mkewe Anande Nnko wakivishwa maazi ya …