Gesi si Mwarobaini wa Umasikini, Kazi Shambani

Na Zitto Kabwe TANZANIA kama ilivyo kwa Bara la Afrika ni miongoni mwa nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi. Inakadiriwa kwamba kati ya mwaka 2012 mpaka 2017 katika nchi kumi zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi, sita zitakuwa zinatoka Bara la Afrika. Tanzania ni moja ya nchi hizo, nyingine ni Rwanda, Angola, Chad, Ethiopia na Equatorial Guinea. Angola, Equatorial Guinea …