UDSM Yampa Shahada ya Udaktari wa Sheria Rais Kikwete

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete leo katika Ikulu ya Dar es Salaam amepokea Joho na Cheti cha Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Sheria yaani Doctor of Laws, Honoris Causa kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM. Tayari Rais Kikwete alishatunukiwa shahada hiyo katika mahafali ya 41 ya UDSM yaliyofanyika Octoba, mwaka 2011 na leo hii UDSM. …