JK Aendelea Kutwaa Shahada za Heshima Vyuo Vikuu

Na Premi Kibanga, Mwandishi wa Habari wa Rais, Newcastle-Australia RAIS Jakaya Kikwete ametunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa) na Chuo Kikuu cha Newcastle cha nchini Australia. Sherehe za kumtunuku Rais shahada hiyo zimefanyika leo tarehe 29.7.2015 katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Newcastle. Akisoma maelezo ya utangulizi katika hafla hiyo, Mkuu wa Chuo …