Wanawake Watakiwa Kugombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

Na Anna Nkinda – Maelezo, Nachingwea WANAWAKE nchini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu ili waweze kuingia katika ngazi ya maamuzi. Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma …

Ratiba ya CCM Maandalizi Uchaguzi Serikali za Mitaa

RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NDANI YA CHAMA TAREHE SHUGHULI 19/10/2014 – 22/10/2014 Mikutano ya Wanachama wote wa CCM Matawini kwa ajili ya kuelimishwa na kuhamasishwa kuhusu Uchaguzi. 23/10/2014 – 25/10/2014 Kuchukua na kurejesha Fomu za kuomba kugombea Uenyekiti wa Mtaa, Kijiji, Kitongoji na Ujumbewa Serikali za Vijiji na Mitaa kwa Makatibu wa Matawi ya CCM. …