Tanzania Yasaini Makubaliano Ujenzi wa Reli ya Kati Kisasa

    SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo imetiliana saini na Benki ya Exim ya China makubaliano ya awali ya ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (Standard Gauge). Makubaliano hayo ya awali yamefanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dk. Servaciaus Likwelile kwa niaba ya Tanzania na Naibu Meneja Mikopo Nafuu wa …