Wenyeviti Serikali za Mitaa Wabanwa Juu ya Taarifa za Mapato na Matumizi ya fedha
Na Ismail Ngayonga, Maelezo-Dodoma SERIKALI imewataka Mwenyekiti wa Serikali za Vijiji nchini kutangaza na kuweza wazi taarifa za mapato na matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo katika kipindi cha kila baada ya miezi mitatu (3). Hatua ya kutotangaza taarifa hizo itaondoa uhalali wa mikutano mikuu unaohitajika kuitishwa na Viongozi hao katika kipindi hicho, kama inavyoelekezwa katika sheria ya fedha …
Serikali Yakanusha Rais Magufuli Kuongoza kwa Msukumo..!
Kaimu Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Zamarad Kawawa (Wa kwanza kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akitoa ufafanuzi juu ya tuhuma zilizotolewa na mwandishi wa ” The Ecomist” Gazeti la Kiingereza linatoka kwa wiki dhidi ya Serikali ya Tanzania. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Taarifa akichukuliwa na wanahabari. Na Dotto Mwaibale SERIKALI imekanusha …
Serikali Yataka Mawasiliano ya Barua Pepe Serikalini Yatumie ‘GMS’
Na Aron Msigwa –MAELEZO, Dar es Salaam SERIKALI imepiga marufuku matumizi ya Barua pepe za kawaida kwa watumishi wa umma wanaotuma au kupokea taarifa za Serikali na kuwataka watumishi hao kuhakikisha kuwa wanatumia mfumo rasmi wa Mawasiliano ya Barua Pepe Serikalini (GMS) ulioanzishwa na Serikali kwa lengo la kuimarisha mawasiliano kwa njia ya Mtandao. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar …
Serikali Kuendelea Kuwekeza Kwenye Utafiti na Ubunifu
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA), Profesa Samuel Wangwe akitoa hutuba mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa kongamano hilo. Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza katika uzinduzi huo. Rais Jakaya Kikwete (katikati), akiwa meza kuu na viongozi wengine. Kulia ni Waziri wa Sayansi …
Bajeti ya Serikali Yapitishwa Rasmi Bungeni
BAJETI ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016, imepitishwa na Bunge, huku kwa mara ya kwanza Mbunge wa Vunjo Augustine Mrema akiipinga, lakini wabunge watatu wa upinzani waliiunga mkono. Akitangaza matokeo hayo, Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah alisema bajeti hiyo ilipita kwa asilimia 83 baada ya kupigiwa kura za ndiyo na wabunge 219. Dk Kashililah alisema jumla ya …