Beatrice Lyimo – MAELEZO WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa wito kwa wananchi na wadau mbalimbali kuendelea kutoa maoni na mapendekezo ili yatumike kuboresha Rasimu ya Sera mpya ya Maendeleo ya Utamaduni ya mwaka 2016 itakayochukua nafasi ya Sera ya Maendeleo ya Utamaduni ya mwaka 1997. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Msaidizi Lugha wa …