Takwimu Waanza Kusambaza Matokeo ya Sensa Mpya ya 2012

Na VERONICA KAZIMOTO, Dodoma OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) mkoani Dodoma imeendesha semina ya usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2012 kwa viongozi na watendaji wa ngazi mbalimbali wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uelewa viongozi hao waweze kuyatumia matokeo ya Sensa hiyo kupanga mipango ya maendeleo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakati wa Semina hiyo …