Lowassa Azinduwa Jubilee Miaka 50 Seminari ya Kaloli Lwahanga

Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, (wapili kushoto), akiwa na Askofu  wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, mkoani Kagera, Severine Niwemuguzi baada ya kuzindua jiwe la msingi kuashiria maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50, Seminari ya Mtakatifu Kaloli Lwahanga Katote Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, Jumamosi Juni 6, 2015    Waziri  Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, akisalimiana na Askofu  wa Jimbo Katoliki la Lulenge Ngara, …