NHIF Yatoa Semina kwa Viongozi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadriya

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF) leo umetoa elimu ya umuhimu wa viongozi wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiria kujiunga na mpango wa huduma za matibabu ya bima ya afya unaotolewa kwa makundi yenye malengo mbalimbali ujulikanao kama KIKOA. Akizungumza wakati akifungua semina kwa viongozi hao Kaimu Mkurugenzi wa NHIF, Eugine Ngoti alisema mfuko huo umelenga kuhakikisha unaendelea …

Wanahabari Katika Semina ya Usalama wa Chakula

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.   Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk. Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa …

Benki ya Posta Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara Mbeya

BENKI ya Posta Tanzania (TPB) Tawi la Mbeya, imetoa semina kwa Wajasiriamali wa mkoa ikiwa na lengo la kuwaongezea ujuzi kwenye biashara zao. Semina hiyo ya siku moja imefanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya na kufunguliwa na Mkuu wa Wilaya, Profesa Norman Sigallah. Akizungumza kwenye uzinduzi wa semina hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki …

NSSF Yatoa Semina Kwa Maofisa Ajira na Fedha Dar

Na Joachim Mushi SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Temeke limefanya semina kwa maofisa ajira na Fedha zaidi ya 150 kutoka katika makampuni na taasisi anuai za eneo hilo ikiwa ni jitihada za kutoa elimu juu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo. Semina hiyo iliyofunguliwa na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori imefanyika leo …