Waziri Kombani Aipongeza Seed Trust Kuwapigania Walemavu

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Selina Kombani ameipongeza taasisi ya Seed Trust kwa jitihada zake za kupiga vita vitendo vya ukatili kwa wanawake na watu wenyeulemavu. Bi. Kombani ametoa pongezi hizo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tasisi ya Seed Trust, Magreth Mkanga (MB), leo jijini Morogoro alipokuwa akifungua kongamano la kujadili namna ya kukabiliana na vitendo …