TGGA Wautetea Utalii wa Mlima Kilimanjaro Nchini Mexico

   Mmoja wa viongozi wa vijana wa Chama cha  Tanzania Girl Guides  (TGGA), Dk. Helga Mutasingwa (kulia), akilakiwa na Katibu wa Taifa wa TGGA, Grace Shaba baada ya kuwasili jana kwenye Uwanja wa wa Kimataifa wa  Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam jana.  Na Richard Mwaikenda  KIONGOZI wa Vijana wa Chama cha  Tanzania Girl Guides  (TGGA), Dk. Helga Mutasingwa amefanya …

Utalii wa Baloon Wawavutia Watalii Hifadhi ya Taifa Serengeti

    Kikapu maalumu kinachotumika katika Baloon kwa ajili ya kubeba watalii kikishushwa katika eneo la Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa ajili ya Utalii wa Baloon. Waandaaji wa Baloon wakifanya maandalizi ya kuliandaa Baloon hilo kwa ajili ya kubeba wageni wakati wa maandalizi ya kutalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Rubani wa Baloon linalo milikiwa na Kampuni ya …

Mdau wa Utalii Aeleza VAT Ilivyoathiri Biashara ya Utalii

  Kufuatia serikali kupitisha muswada wa ongezeko la VAT kwa watalii ambao wanakuja nchini kwa ajili ya kutembelea vivutio mbalimbali, mwandishi wetu amepata nafasi ya kufanya mahojiano na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Travel Partner, Erick Mashauri ili kujua ni kwa kiasi gani ongezeko hilo limeathiri biashara kwa makampuni yanayopeleka watalii mbugani na kwa sekta ya utalii kwa ujumla. Mashauri …

Tanzania Inanafasi ya Kujifunza Sekta ya Utalii – Wadau

Pichani juu na chini ni Afisa Habari Mwandamizi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Esther Solomon (kushoto) akitoa maelezo ya shughuli mbalimbali za utalii na vivutio vyake nchini Tanzania kwa baadhi ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali vikiwemo vya utalii nchini Zimbabwe waliofika katika banda la Tanzania kwenye maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Utalii Sanganai/Hlanganani–(World Tourism Expo) kupata taarifa mbalimbali …