Naibu Waziri Injinia Ngonyani Aridhishwa na Kasi ya Utendaji wa TBA

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani ameupongeza Wakala wa Majengo Nchini (TBA), kwa jitihada wanazozifanya katika kuongeza mapato na kununua vifaa vipya na kisasa vitakavyowezesha wakala huo kumudu ujenzi wa miradi mingi mikubwa kwa wakati. Akizungumza mara baada ya kukagua mradi wa nyumba 851 ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na mabweni …

Prof. Mbarawa Atoa Miezi Sita Upanuzi Uwanja wa Ndege Mwanza

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemtaka Mkandarasi wa kampuni ya Beijing Construction Engineering Group anayejenga uwanja wa ndege wa Mwanza kumaliza kazi ya upanuzi wa uwanja huo ifikapo mwezi Februari Mwakani. Profesa Mbarawa ametoa kauli hiyo alipokuwa akikagua kazi ya ujenzi na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza pamoja na daraja la watembea …

Waziri Prof Mbarawa Azinduwa Kozi ya Urubani NIT

      WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amekitaka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), kuhakikisha kinatoa marubani waliobobea katika masuala ya usafirishaji wa anga na wenye uadilifu katika taaluma hiyo. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya wakufunzi wa kozi za Urubani Chuoni hapo, Waziri Prof. Mbarawa amesema kuwa Sekta ya …

Ujenzi wa Reli ya Kisasa Kuanza Mwezi Desemba

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge) unatarajiwa kuanza mwezi Desemba mwaka huu na kama ilivyo miradi mikubwa unatarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu na utajengwa kwa awamu nne ili kuharakisha kukamilika kwake. Waziri Prof. Mbarawa alisema Prof. Mbarawa ametoa kauli hiyo leo, wakati wa Mkutano wa Sita …

Eng. Nyamhanga Awataka Waliolipwa Fidia Kupisha Ujenzi Barabara ya Arusha Bypass

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi) Eng. Joseph Nyamhanga amewataka wakazi wa Arusha ambao wameshalipwa fidia kupisha ujenzi wa barabara ya Arusha Bypass kwa kubomoa nyumba zao haraka ili ujenzi wa barabara hiyo uanze mara moja. Akizungumza mara baada ya kukagua barabara hiyo ya Arusha Bypass inayoanzia TPRI – Ngaramtoni –Oljoro hadi USA River …

Profesa Mbarawa Afagilia Upanuzi Uwanja wa Ndege Dodoma

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameridhishwa na maendeleo ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo mpaka sasa ujenzi huo umefikia asilimia 35 ikiwa ni kazi iliyotekelezwa ndani ya siku 18 toka alipotoa agizo hilo mwishoni mwa mwezi juni mwaka huu. Ametoa kauli hiyo alipokuwa akikagua ujenzi wa uwanja huo na kumhimiza mkandarasi wa Kampuni …