Shirikisho la Muziki Lazungumza na Naibu Waziri Sanaa na Michezo

Katibu Mkuu mpya wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw. John Kitime, Julai 21, 2016, amefanya mazungumzo marefu na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura ofisini kwa Naibu Waziri huyo. katika mazungumzo hayo Katibu Mkuu wa Shirikisho aligusia mambo mbalimbali yakiwemo, sehemu za kufanyia kazi za sanaa ya muziki (kumbi), matatizo ya utekelezaji wa Hakimiliki, ukubwa wa kodi za vifaa vya …

Nape Nnauye Asikiliza Kero za Wanachama wa Shirikisho la Kazi za Sanaa

Na Benedict Liwenga-WHUSM WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye ameahidi kuzitataua baadhi ya changamoto mbalimbali zinazoikabili Chama cha Wasanii na Wachongaji Tanzania (CHAWASAWATA) ikiwemo upatikanaji wa Hati Miliki ya Kiwanja kwa ajili ya kazi zao, Ushuru unaotozwa kupitia Idara ya Maliasili nchini pamoja na Sheria ya Tozo katika Viwanja vya Ndege. Mhe, Nnuaye ametoa ahadi hiyo …