Sekta ya Mifugo Inavyohabari Mazingira Katavi

Na Kibada Kibada – Katavi SEKTA ya Mifugo Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi inakabiliwa na Changamoto mbalimbali hali inayofanya sekta hiyo kutafuta mbinu na mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo ikiwemo uharibifu mkubwa wa mazingira kutokana na wingi wa mifugo uliopo kuliko ukubwa wa eneo la kufugia mifugo hiyo. Baadhi ya Changamoto hizo ni kuwepo idadi kubwa ya …