Mgeni rasmi katika mahafali ya 13 ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Shimbwe iliyopo Uru Moshi vijijini,Ofisa Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi,Georgia Mutagahywa (mwenye suti nyeusi) akizungumza jambo mara baada ya kutembelea darasa la Kompyuta shuleni hapo juzi. Mgeni rasmi katika mahafali ya 13 ya kidato cha nne katika shule …
RC Katavi Aagiza Waliokimbia Sekondari 2014 Warejeshwe
Na Kibada Ernest Kibada, Katavi MKUU wa Mkoa wa Katavi Dk. Ibrahimu Msengi ameagiza wanafunzi wote waliohitimu Elimu ya Msingi mwaka 2014 na kuchaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari waripoti katika shule walizopangiwa kuhudhuria masomo yao. Alitoa kauli hiyo katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Kanali Mstaafu Issa Seleman Njiku wakati akifungua kikao …
Japani Kuipanua Sekondari ya Wama kwa Milioni 900
Na Anna Nkinda – Maelezo TAASISI ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Serikali ya Japani wametiliana saini mkataba wa mradi wa upanuzi wa shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama iliyopo Rufiji mkoani Pwani utakaogharimu shilingi milioni mia tisa. Utiaji saini wa mkataba huo umefanyika leo katika ofisi za WAMA zilizopo jijini Dar es Salaam kati ya Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mama …
Wazazi Southern Highlands Mafinga Wachangia Sekondari
Mkurugenzi mtendaji wa shule ya Southern Highlands Mafinga Bi Mary Mungai kushoto akiwa na wageni mbalimbali Wanafunzi wa shule ya Southern Highlands Mafinda wakipiga vyombo vya muziki walipokuwa wakiimba wimbo wa Taifa siku ya mahafali ya chekechea na siku ya wazazi shuleni hapo Mwalimu Bi Sarah akijitambulisha mbele ya wazazi Wageni mbalimbali wakiwa katika hafla ya siku ya wazazi WAZAZI wa …
Dk. Kawambwa Kuchangisha Fedha Ujenzi Sekondari Enaboishu
Na Beatrice Lyimo, Maelezo-DSM. WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba za walimu vyumba vya madarasa na ununuzi wa samani katika shule ya Sekondari ya Enaboishu iliyopo mkoani Arusha. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi wa shule hiyo, Emmanuel Munga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi jijini …