Ofisa Ubalozi wa Ireland nchini, Bi. Carlo, akizungumza na Edwin Luguku na John Method kutoka Shule ya Sekondari Mzumbe, Morogoro ambao waliibuka washindi wa jumla katika maonesho ya Sayansi kwa Shule za Sekondari mwaka 2015 yanayoandaliwa na taasisi ya Young Scientists Tanzania (YST). Wanafunzi hao wanaondoka leo hii kwenda Dublin, Ireland kwa maonesho ya sayansi. Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Young Scientists …