Hospitali za Apollo na Jitihada Kuimarisha Sayansi ya Mfumo wa Fahamu Tanzania

UMAKINI kwa mara nyingine tena umewekwa katika uhitaji wa wataalamu zaidi na kuboresha miundombinu ndani ya sekta ya utabibu wa upasuaji wa mfumo wa fahamu. Hii inakuja baada ya ziara ya hivi karibuni na timu ya madaktari kutoka hospitali ya Apollo nchini India. Madaktari ambao walikuwa nchini kwa lengo la kujenga uhusiano unaoendelea kati ya hospitali hiyo na Tanzania, walipata …