Ushirikiano Utapunguza Vifo vya Saratani kwa Kinamama

Na Anna Nkinda – Maelezo, New York USHIRIKIANO wa pamoja unatakiwa kuhakikisha wagonjwa wanaougua saratani za mlango wa kizazi, matiti na tezi dume wanapata matibabu kwa wakati ili kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Rai hiyo imetolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mjadala wa wake wa marais wa Afrika wa kupambana na saratani za mlango wa kizazi, …