Na Anna Nkinda – Nairobi, Kenya ASILIMIA 70 ya wagonjwa wa saratani hupoteza maisha katika nchi zinazoendelea na katika Bara la Afrika lenye watu zaidi ya milioni 804 asilimia 12.4 wanapata saratani kabla ya kufikia umri wa miaka 75 na asilimia 90 wanapata ugonjwa huo wakiwa na umri wa chini ya miaka 40. Hayo yalisemwa na Rais wa Kenya, Uhuru …