Uchakavu wa Shilingi 500, Wailazimu BOT Kutoa Sarafu

Na Frank Mvungi, MAELEZO BENKI Kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500 itakayoanza kutumika Oktoba 2014 itakayokuwa mbadala wa Noti ya shilingi 500 inayoonekana kuchakaa haraka. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki wa benki hiyo, Bw. Emmanuel Boaz wakati wa mkutano na waandishi wa habari. “Noti ya shilingi 500 hupita kwenye mikono …