Samuel Sitta Atawazwa ‘Utemi’, Atangaza Nia Kuomba Urais

Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira akimtambikia Mh Samuel Sitta ambaye ni binamu yake. Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira leo hii asubuhi alimpa cheo cha Mwizukulu mkulu Mh Samuel Sitta katika kutambua safari yake ya kukiomba chama chake cha CCM kimpe ridhaa ya kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao. Mh Samuel Sitta akiwa …

Samuel Sitta Awaita Viongozi wa UKAWA Waigizaji

  Na Benedict Liwenga, MAELEZO – Dodoma   MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amewaadaa baadhi ya viongozi wanaojiita UKAWA kwa taarifa yao ya kutaka kumfikisha Mahakama ya Uhalifu wa Kimataifa kwa kuendeleza mchakato huo wa Katiba. Kauli hiyo imetolewa Septemba 12, 2014 mjini Dodoma na Sitta kufuatia baadhi ya viongozi hao, kudai kuwa watampeleka katika mahakama hiyo. …

Samuel Sitta Akomaa na Bunge la Katiba

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ‘amekomaa’ kuhakikisha Bunge Maalumu la Katiba linafanya kazi kwa kasi na kukamilisha kila kitu ifikapo tarehe yake ya mwisho, Oktoba 4, ikiwamo kupiga kura za kupitisha Katiba inayopendekezwa kazi ambayo amesema itafanywa hadi nje ya nchi kwa wajumbe watakaokuwa huko. Sitta alilazimika kutoa matamko mawili kwa nyakati tofauti, mara ya kwanza wakati …

Masheikh Wampongeza Sitta Bunge la Katiba

Na Magreth Kinabo, Dodoma BAADHI ya viongozi wa dini wamempongeza Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kwa kitendo chake cha kuliendesha Bunge hilo vizuri katika hali ya utulivu na amani. Kauli hiyo imetolewa leo na Sheikh Hemed Jalala kutoka Msikiti wa Ghadiir uliopo maeneo ya Kigogo Post jijini Dar es Salaam, ambaye aliambatana na Masheikh wengine ambao ni …