Samsung Tanzania Yazinduwa Simu za Galaxy Note 4

BAADA ya kusubiriwa miezi kadhaa, Kampuni ya kielektroniki ya Samsung Tanzania imeongeza rasmi mwanafamilia mpya katika simu aina ya Note. Tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Terrace, Slipway ni alama ya uzinduzi rasmi na upatikanaji wa Samsung Galaxy Note 4 katika soko Tanzania. Tukio hilo la uzinduzi lilijumuisha watu mashuhuri ndani ya Mkoa wa Dar es salaam ambao walipata nafasi za …