Samsung Wazinduwa Duka na Kituo cha Huduma Arusha

KAMPUNI ya Samsung imezinduwa rasmi duka kubwa na kituo chake cha huduma kwa wateja lililopo barabara ya Sokoine Mjini Arusha. Uzinduzi huo utawawezesha wateja wake wote mkoani Arusha kupata huduma stahiki na bidhaa halisi za Samsung. Kituo hicho cha kwanza kuzinduliwa mkoani Arusha na kampuni hii yenye idadi kubwa ya wateja wa vifaa bora vya kielektroniki ulimwenguni. “Mtazamo wa maisha …