Samsung Wazinduwa Simu ya Ajabu Aina ya 4G LTE

Samsung Wazinduwa Simu ya Ajabu Aina ya 4G LTE NGULI wa vifaa vya umeme Samsung imeendelea na juhudi za kuimarika katika nafasi ya kwanza kwa uzinduzi wa simu zake mpya na za kushangaza za 4G LTE zilizo pewa jina la ‘Muvika’. Uzinduzi huu wa mara ya kwanza na wa aina yake nchini kwa upande wa simu za mkononi zenye teknolojia …

Vanessa Mdee Asaini Mkataba Kuwa Balozi Samsung

KAMPUNI ya kielektroniki ya Samsung kwa mara ya kwanza imehusisha kampuni hiyo na msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania. Leo hii, Kampuni namba moja duniani inayoongoza kwa technolojia ya hali ya juu, Samsung wanayo furaha kumtangaza balozi wao mpya mwanamziki nyota, na mtangazaji wa Televisheni na radio Vanessa Mdee. Katika mkutano na wanahabari ulilofanyika hoteli, ya Hyatt Regency, iliyoko mjini …

Samsung, UNESCO Kujenga Kijiji cha Digitali Loliondo

Mwakilishi mkazi shirika la UNESCO nchini Bi. Zulmira Rodrigues  na Mkurugenzi wa  Samsung Electronics nchini Tanzania, Bw. Mike Seo wakibadilishana nyaraka za makubaliano hayo yaliyofanyika ofisi za UNESCO. Na Mwandishi wetu SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni  (UNESCO) limetiliana saini mkataba na kampuni ya elektroniki ya Samsung ya ujenzi wa Kijiji cha Digitali cha Ololosokwan, Loliondo. …

Kampuni ya Samsung Yazinduwa Galaxy Note 4 Afrika

*Maandalizi ya Uzinduzi Tanzania Yaendelea KAPUNI ya Samsung imezindua toleo jipya la simu zake za Galaxy Note 4 Jijini Berlin Nchini Ujerumani Septemba 2014. Toleo hilo la teknolojia ya kisasa katika orodha za simu aina ya Note inazidi kuimarisha kampuni ya Samsung na kuzidi kufanya vizuri katika soko la simu duniani. Siku ya tarehe 17 Octoba, 2014 Kampuni ya Samsung …