AMREF Wampa Tuzo ya Ubalozi Mama Salma Kikwete

Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Rais Mama Salma Kikwete ametunukiwa tuzo ya kuwa balozi wa kampeni ya Simama kwa ajili ya mwanamke wa Afrika “Stand for African Mother campaign” kwa ajili ya kujitoa kwake na kuwahamasisha wake wa Marais wa Afrika kusimama na kupigania haki za kina mama na watoto. Hafla fupi ya kukabidhi tuzo hiyo ambayo imetolewa …