Tatizo la Salatani ‘Lipo Ndani ya Uwezo Wetu’

LEO Februari 4, 2015, inatukumbusha kwamba tunapaswa kupambana na ugonjwa wa saratani, ambao ni tatizo kubwa sana duniani kwa sasa. Mwaka huu, siku hii maalum imepangwa kufikia matokeo chanya juu ya vita dhidi ya saratani, kupitia kauli mbiu inayosisitiza kuwa ufumbuzi wakutokomeza saratani upo ndani ya uwezo wetu. Kampeni ya mwaka huu 2015, Siku ya Saratani Dunia inalenga katika kuchagua …