Ujue Urembo Bila Vipodozi, Yajue Manufaa ya Kula Vyakula ‘Vibichi’

NDIVYO. Hii haina mjadala kabisa. Kama ukisikia moto huharibu vyakula katika mapishi basi kinyume chake ni kuwa ukila vyakula visivyopikwa utakuwa umegeuza mambo na utakuwa umeupa mwili wako vitu adimu sana kwa maisha yetu ya leo ambayo bila moto watu hawakai mezani. Unapozungumzia urembo basi ujue unagusa mambo matatu: yaani utulivu wa akili, mwili na roho pia. Unapokula vyakula visivyopikwa …