Sekretarieti ya Maadili ‘Yamsafisha’ Maswi, Yasema Hakukosea Sakata la Escrow

Na Mwandishi Wetu UCHUNGUZI wa Awali uliofanywa na Sekretarieti ya Maadili umebaini kuwa Ndugu Eliakim C. Maswi hana makosa yoyote ya kimaadili katika mchakato wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow hivyo umekabidhi taarifa yake kwa Rais Jakaya Kikwete kutoa uamuzi wa mwisho. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu, Uchunguzi wa Awali uliofanywa na Kamati …

Sakata la Escrow: Prof. Tibaijuka Asema Hawezi Kujiuzulu Kwenye Mafanikio…!

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amesema kamwe awezi kujiuzulu wadhifa wake kwa kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow iliyomkumba kwani tukio alilolifanya ni la mafanikio makubwa kwa upande wa shule zake. Alisema kitendo cha yeye kufanikiwa kuomba na kupokea shilingi zaidi ya bilioni 1.6 kama mchango kwake ni mafanikio makubwa kwa kufanikisha kupata mchango …